Lengo kuu la moduli hii ni kuwapatia wanafunzi elimu kuhusu fasihi simulizi na fasihi andishi katika lugha ya Kiswahili. Yaliyomo katika moduli hii yanahusu pia sifa na dhima za fasihi simulizi na tanzu zake mbalimbali kuhusu fasihi simulizi na uchambuzi wa baadhi ya kazi za sanaa